| dc.contributor.author | Henry F. Andele | |
| dc.contributor.author | Susan C. Choge | |
| dc.contributor.author | Fred S. Wanjala | |
| dc.date.accessioned | 2026-02-03T07:53:57Z | |
| dc.date.available | 2026-02-03T07:53:57Z | |
| dc.date.issued | 2020 | |
| dc.identifier.citation | Andele, H.F., Choge, S.C. & Wanjala, F. S. (2020). Falsafa ya Jazanda ya Uongozi na Mauko katika Methali za Jamii ya Wanyore: Mtazamo wa Kisemantiki. Editon Cons. J. Kiswahili,2(1), 163-172 | en_US |
| dc.identifier.issn | 2663-9289 | |
| dc.identifier.uri | http://ir.ttu.ac.ke/xmlui/handle/123456789/161 | |
| dc.description.abstract | Makala hii inatokana na utafitiambao uliazimia kutathmini falsafa ya jazanda katika methali za Wanyore kwa mtazamo wa kisemantiki. Madhumuni ya makala yenyewe yanahusu falsafa ya uongozi na mauko katika methali za Wanyore. Nadharia ya Uhusiano ya Sperber na Wilson (1986) na iliyoendelezwa nao (2004) ndiyo iliyoongoza makala hii. Nadharia hii ilitumiwa kufafanulia maana za methali katika jamii ya Wanyore. Data ilikusanywa kutoka kwaWanyore wanaoishi katika kaunti ndogo ya Emuhaya na Luanda katika kaunti ya Vihiga. Makala haya yalitumia njia za uchanganuzi matini na mahojianokukusanya data. Vifaavilivyotumiwa vilikuwa ratiba ya usailina tepurekoda. Data ilichanganuliwa kimaelezo kwa kunukuu methali za Kinyore, kisha zikatafsiriwa na kufasiriwa katika Kiswahilihatimaye falsafa ya jazanda ya uongozi na mauko ikaainishwa na kuelezwa. Matokeo ya kazi hii yatachangia kueleweka kwa falsafaya jazanda ya uongozi na mauko miongoni mwa wanajamii.Pia, yatakuwa nyongeza ya marejeleo kwa watafiti katika uwanja wa methali. | en_US |
| dc.language.iso | en | en_US |
| dc.publisher | Editon Consortium Journal of Kiswahili(ECJKISW) | en_US |
| dc.subject | falsafa, jazanda, mauko, kisemantiki | en_US |
| dc.title | Falsafa ya Jazanda ya Uongozi na Mauko katika Methali za Jamii ya Wanyore: Mtazamo wa Kisemantiki | en_US |
| dc.type | Article | en_US |