Henry F. Andele; Susan C. Choge; Fred S. Wanjala
(Editon Consortium Journal of Kiswahili(ECJKISW), 2020)
Makala hii inatokana na utafitiambao uliazimia kutathmini falsafa ya jazanda katika methali za Wanyore kwa mtazamo wa kisemantiki. Madhumuni ya makala yenyewe yanahusu falsafa ya uongozi na mauko katika methali ...